Na mwandishi wetuYanga imeifanya siku ya kilele cha Wiki ya Mwananchi kuwa tamu baada ya kuifumua Red Arrows ya Zambia mabao 2-1 katika mechi ili...
Tag: Yanga
Bloemfontein, Afrika KusiniTimu ya Yanga, leo Jumapili imeibamiza Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini mabao 4-0 katika mechi ya Kombe la Toyota iliyop...
Na mwandishi wetuBao pekee la Prince Dube limeiwezesha Yanga kutoka na ushindi wa 1-0 dhidi ya TS Galaxy ya Afrika Kusini katika mechi ya kujipim...
Na mwandishi wetuYanga imeanza vibaya mechi za kujipima nguvu kwa kuchapwa mabao 2-1 na FC Augsburg ya Ujerumani, mechi iliyopigwa leo Jumamosi k...
Cairo MisriTimu za Tanzania zimewajua wapinzani wao katika michuano ya klabu inayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ambapo Yanga wataan...
Na mwandishi wetuWafalme wawili wa soka la Tanzania, Simba na Yanga wameendelea kutanua makucha yao baada ya leo Jumatatu kutambulisha vifaa vipy...
Na mwandishi wetuTimu ya Yanga SC inatarajia kuvaana na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini inayonolewa na Nasrredine Nabi katika mchezo maalum wa Kom...
Na mwandishi wetuHatimaye ile habari ya kiungo Clatous Chota Chama au Triple C kuachana na klabu ya Simba na kujiunga na Yanga imetimia baada ya ...
Na mwandishi wetuShirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limeifutia klabu ya Yanga adhabu ya kufungiwa kusajili wahezaji baada ya kumlipa aliyekuw...
Na mwandishi wetuKlabu ya Yanga imeahidi kuisuka timu tishio kuelekea msimu ujao kwa ajili ya kuvuka malengo na kile walichokifanya kwenye msimu ...