Na mwandishi wetuHatimaye Yanga leo Jumatano Aprili 2, 2025 imebeba pointi tatu muhimu katika Ligi Kuu NBC baada ya kuilaza Tabora United mabao 3...
Tag: Yanga
Na Hassan KinguMechi ya Ligi Kuu NBC baina ya mahasimu wa soka nchini Tanzania, Yanga na Simba iliyokuwa ichezwe leo Jumamosi Machi 8, 2025, imea...
Na Hassan KinguUtata umeibuka kuhusu mechi ya Simba na Yanga ambayo imepangwa kuchezwa leo Jumamosi Machi 8, 2025 na huenda mechi hiyo isichezwe ...
Na Hassan KinguMashabiki Simba na Yanga wanacharurana kuelekea mechi yao ya Jumamosi Machi 8, 2025, kila upande ukitamba kuwa bora kumshinda mwen...
Na mwandishi wetuMabingwa watetezi wa Ligi Kuu NBC, Yanga wameendelea na kasi yao ya kulisaka taji la ligi hiyo baada ya kuinyuka Pamba Jiji maba...
Na mwandishi wetuYanga imeendeleza makali katika Ligi Kuu NBC ikijiimarisha kileleni kwa kuipiga Mashujaa FC mabao 5-0 au mkono, mechi iliyochezw...
Na mwandishi wetuMabao ya Clement Mzize na Prince Dube yameiwezesha Yanga kutoka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Black Stars na kujiimar...
Na mwandishi wetuYanga imekamata usukani wa Ligi Kuu NBC kwa kishindo baada ya kuigaragaza KMC mabao 6-1 huku kiungo Stephane Aziz Ki akifunga ma...
Na mwandishi wetuYanga, Simba hazichekani, ndicho kilichotokea baada ya Yanga kugawana pointi moja moja na JKT Tanzania katika mechi ya Ligi Kuu ...
Na mwandishi wetuYanga imerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu NBC kwa kishindo baada ya kuikandika Ken Gold FC mabao 6-1 katika mechi iliyoche...