Barcelona, HispaniaBeki wa zamani wa Barcelona na timu ya taifa ya Brazil, Dani Alves amefutiwa kesi ya kubaka katika mahakama ya rufaa nchini Hi...
Tag: Dani Alves
Barcelona, HispaniaBeki wa zamani wa klabu za Barcelona na timu ya taifa ya Brazil, Dani Alves ameonesha jeuri ya fedha baada ya kumrudishia baba...
Barcelona, HispaniaBeki wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil na klabu ya Barcelona, Dani Alves ametoka jela (lupango) baada ya kulipa dhamana ya ...
Rio de Janeiro, BrazilMpango wa familia ya mshambuliaji wa Brazil, Neymar Jr kumtoa jela beki wa zamani wa Barcelona, Dani Alves anayekabiliwa na...
Barcelona, HispaniaBeki wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil na klabu ya Barcelona, Dani Alves anayetumikia kifungo cha miaka minne na nusu jela ...
Barcelona, HispaniaMahakama nchini Hispania imemkuta na hatia ya kosa la kubaka beki wa zamani wa Barcelona na timu ya taifa ya Brazil, Dani Alve...
Barcelona, HispaniaBeki wa zamani wa klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Brazil, Dani Alves amefikishwa mahakamani na kukana kumbaka msichana ...
Barcelona, HispaniaBeki wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil na klabu ya Barcelona, Dani Alves anadaiwa kuiambia mahakama kwamba siku aliyotuhumi...
Barcelona, HispaniaOfisi ya waendesha mashtaka nchini Hispania imetaka beki wa zamani wa Barcelona na timu ya taifa ya Brazil, Dani Alves apewe a...
Barcelona, HispaniaBaada ya kusota rumande kwa miezi takriban 10, hatimaye beki wa zamani wa Barca na timu ya taifa ya Brazil, Dani Alves anatara...