Na mwandishi wetuYanga imekamilisha usajili wa beki Israel Mwenda kutoka Singida Black Stars ikiwa siku nne zimebaki kabla ya kufunguliwa rasmi d...
Category: Soka
Nyon, SwitzerlandFainali za Kombe la Dunia za Wanaume za 2034 zitafanyika nchini Saudi Arabia wakati Hispania, Ureno na Morocco kwa pamoja wataan...
Na mwandsishi wetuBaada ya kuanza vizuri mechi ya Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika, Simba Jumapili hii imekuwa mbaya kwa timu hiyo baada ya kuc...
Na mwandishi wetuYanga imejikuta pagumu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa mabao 2-0 na MC Alger ya Algeria katika mechi ya Kundi A...
London, EnglandKocha wa Arsenal, Mikel Arteta ameikumbuka Barca iliyokuwa bora eneo la kiungo chini ya Iniesta, Xavi na Sergio Bosquets na kujiam...
Madrid, HispaniaBaada ya Kylian Mbappe kukosa penalti kwa mara ya pili, kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti amedai bado ana imani mshambuliaji ...
Na mwandishi wetuKocha wa Azam FC, Rachid Taoussi ameibuka kinara wa tuzo ya kocha bora wa Ligi Kuu NBC kwa mwezi Novemba akiwabwaga Fadlu Davids...
Manchester, EnglandKocha wa Man City, Pep Guardiola amepuuza habari kwamba ana ugomvi na kiungo, Kevin de Bruyne badala yake amesema ana shauku k...
Na mwandishi wetuShirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa angalizo kwa mawakala wa soka nchini na kubainisha kuwa wanaotambulika ni wale tu weny...
Conakry, GuineaMashabiki 56 wa soka nchini Guinea wamefariki na wengine mamia kujeruhiwa baada ya vurugu kuibuka kwenye kwenye mechi chanzo kikiw...