Na mwandishi wetuYanga imeendelea kuifukuzia Simba kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu NBC baada ya kuikandika Dodoma Jiji mabao 4-0 katika mechi il...
Category: Soka
Na mwandishi wetuBao pekee la mkwaju wa penalti iliyofungwa kiufundi na Jean Ahoua leo Jumanne kwenye Uwanja wa KMC, Dar es Salaam limezima ndoto...
Na mwandishi wetuAliyekuwa meneja habari na mawasiliano wa Yanga, Haji Manara amelazimika kuomba radhi baada ya kuonesha ukaidi na kumjibu jeuri ...
Na mwandishi wetuYanga imeichapa Prisons mabao 4-0 katika Ligi Kuu NBC huku bao moja alilofunga nyota wa mechi hiyo, Ibrahim Bacca likiwa mjadala...
Na mwandishi wetuSimba imeibugiza Kagera Sugara mabao 5-2 huku kumbukumbu ya kuvutia zaidi ikiwa bao la tatu la Fabrice Ngoma aliyeshangilia kwa ...
Na mwandishi wetuHatimaye nyota imeanza kung'aa kwa mshambuliaji wa Yanga, Prince Dube baada ya kufunga mabao matatu wakati timu yake ikiilaza Ma...
Na mwandishi wetuSimba imenyakua pointi tatu muhimu baada ya kuicharaza Ken Gold FC mabao 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu NBC iliyopigwa leo Jumatan...
Na mwandishi wetuHaiishi mpaka iishe, ndicho kilichotokea baada ya Kibu Denis kufunga mabao mawili na kuiwezesha Simba kupata ushindi wa 2-1 dhid...
Na mwandishi wetuPrince Dube ameacha kilio mjini Lubumbashi baada ya kufunga bao na kuiwezesha Yanga kutoka sare ya 1-1 na TP Mazembe ya mjini Lu...
Na mwandishi wetuYanga imekamilisha usajili wa beki Israel Mwenda kutoka Singida Black Stars ikiwa siku nne zimebaki kabla ya kufunguliwa rasmi d...