Na mwandishi wetuMabingwa watetezi wa Ligi Kuu NBC, Yanga wameendelea na kasi yao ya kulisaka taji la ligi hiyo baada ya kuinyuka Pamba Jiji maba...
Category: Soka
Na mwandishi wetuSimba na Azam FC zimetoka uwanjani kwa sare ya mabao 2-2 katika mechi ya Ligi Kuu NBC iliyopigwa leo Jumatatu, Februari 24, 2025...
Na mwandishi wetuYanga imeendeleza makali katika Ligi Kuu NBC ikijiimarisha kileleni kwa kuipiga Mashujaa FC mabao 5-0 au mkono, mechi iliyochezw...
Na mwandishi wetuTimu ya soka ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars imeanza na mguu mzuri mbio za kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika Wan...
Na mwandishi wetuSimba imeendelea kuifukuzia Yanga katika Ligi Kuu NBC baada ya kuitandika Namungo FC mabao 3-0 katika mechi iliyochezwa leo Juma...
Na mwandishi wetuMabao ya Clement Mzize na Prince Dube yameiwezesha Yanga kutoka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Black Stars na kujiimar...
Na mwandishi wetuYanga imekamata usukani wa Ligi Kuu NBC kwa kishindo baada ya kuigaragaza KMC mabao 6-1 huku kiungo Stephane Aziz Ki akifunga ma...
Na mwandishi wetuSimba imerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu NBC baada ya kuinyuka Tanzania Prisons mabao 3-0 katika mechi iliyochezwa leo Ju...
Madrid, HispaniaAliyekuwa rais wa Shirikisho la Soka Hispania, Luis Rubiales ameiambia mahakama moja ya Hispania kuwa alimuomba kumpiga busu mche...
Na mwandishi wetuYanga, Simba hazichekani, ndicho kilichotokea baada ya Yanga kugawana pointi moja moja na JKT Tanzania katika mechi ya Ligi Kuu ...