Na mwandishi wetuTimu ya Yanga imeweka kambi jana tayari kujiandaa na mchezo wao dhidi ya Mbeya Kwanza unaotarajiwa kupigwa kesho katika Uwanja w...
Category: Soka
Thierry Hitimana Na mwandishi wetuKocha mkuu wa KMC, Thierry Hitimana ameeleza wazi hofu yake wakati wakijipanga kuivaa Mbeya City katika mchezo ...
Mayele (kushoto) akipambana na Joash Onyango katika mechi dhidi ya Simba iliyochezwa Aprili 30 mwaka huu na timu hizo kutoka sare ya bila kufunga...
Na mwandishi wetuKocha wa Mbeya Kwanza, Mbwana Makata amefungiwa kushiriki mchezo wa soka kwa kipindi cha miaka mitano kwa kosa la kushawishi wac...
Na mwandishi wetuKLABU ya Simba imedai kuwa kabla ya kuzungumzia faini waliyopigwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwanza wanahitaji kusikia m...
Kylian Mbappe Paris, UfaransaMshambuliaji wa Paris Saint-Germain ya Ligi 1 Ufaransa, Kylian Mbappe anakaribia kutangaza wapi atakwenda msimu ujao...
Na mwandishi wetuUshindi wa mabao 2-0 ambao Yanga imeupata usiku huu dhidi ya Dodoma Jiji umeifanya timu hiyo kuendelea kujiimarisha kileleni kat...
Na mwandishi wetuSimba imeitoa Pamba ya Mwanza katika robo fainali ya Kombe la Shirikisho Azam kwa kuichapa mabao 4-0 na sasa inasubiri kuumana n...
Na mwandishi wetuLeo jioni Pamba inacheza na Simba katika mechi ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Azam, wakati ikiwa katika maandalizi ya me...
Clatous Chama Na mwandishi wetuWakati vuguvugu la kuondoka kwa Bernard Morrison Simba likiibua hofu, kutoonekana kikosini kwa kiungo wa timu hiyo...