Na mwandishi wetuWachezaji watatu wa Simba, kipa Aishi Manula, beki Shomari Kapombe na kiungo Clatous Chama wamerejea kwenye mazoezi ya timu hiyo...
Category: Soka
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda amesema baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 jana dhidi ya Mbeya City, sasa wamegeukia ma...
Roman Abramovich London, UingerezaSerikali ya Uingereza imetoa leseni inayotoa ruhusa ya kuuzwa kwa klabu ya Chelsea kwa tajiri Todd Boehly na wa...
Jurgen Klopp London, EnglandKocha wa Liverpool, Jurgen Klopp ametangazwa na Chama cha Makocha wa Soka England kuwa ndiye kocha bora wa msimu wa L...
Na mwandishi wetuBaada ya jana Yanga kumalizana na Biashara United kwenye mchezo ulioisha kwa sare ya bao 1-1, timu hiyo leo mapema imekwenda mko...
Kipa wa Yanga, Djigui Diarra Na mwandishi wetuKipa wa KMC, Farouk Shikalo amempongeza kipa wa Yanga, Djigui Diarra kwa kiwango kikubwa anachokion...
Na mwandishi wetuNamungo jana ilipoteza mchezo wake wa Ligi Kuu ya NBC kwa kulala bao 1-0 mbele ya Dodoma Jiji na sasa benchi la ufundi la timu h...
Na mwandishi wetuSare ya bao 1-1 ya Yanga dhidi ya Biashara United haijalifurahisha benchi la ufundi la timu hiyo na wamekiri kuwa makosa ya safu...
Cairo, MisriBaada ya mgogoro wa muda mrefuh hatimaye FIFA imeziondoa, Kenya na Zimbabwe katika mbio za kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco amesema kuwa kinachosababisha kiungo wa timu hiyo Clatous Chama asitumike kwa sasa kwenye kiko...