Na mwandishi wetuTimu ya Singida Big Stars imeeleza kwamba inatarajia kurejea kuanza kambi ya maandalizi kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara...
Category: Soka
Na mwandishi wetuKlabu ya Azam imetoa sababu za kwa nini hivi karibuni mmiliki wa timu hiyo, Yusuf Bakhresa amekuwa akijumuika kumaliza dili zao ...
Na mwandishi wetuKamati ya Maadili ya TFF imeeleza kuwa itaendelea na mchakato juu ya usikilizwaji shauri baina ya sekretarieti yake dhidi ya Ofi...
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na wachezaji wa Serengeti Girls na viongozi wao Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Na mwandishi wetu Rais wa Jamhuri ...
Na mwandishi wetuMgombea pekee wa nafasi ya urais wa klabu Yanga, Injinia Hersi Said leo ameweka wazi nia iliyomfanya agombee nafasi hiyo pamoja ...
Abdul Sopu (katikati) akiwa na vigogo wa Azam mara baada ya kusajiliwa na timu hiyo. Na mwandishi wetuCoastal Union imejipanga kikamilifu kuziba ...
Na mwandishi wetu Mtibwa Sugar kesho inatarajia kuikabili Tanzania Prisons kwenye mchezo wa pili wa mtoano kusaka tiketi ya kuendelea kushiriki L...
Na mwandishi wetuKlabu ya Azam imeonesha kukamia safari hii kuelekea msimu ujao baada ya kutangaza usajili wa mchezaji Abdu Selemani 'Sopu' anaye...
Peter Banda Na mwandishi wetuKiungo mshambuliaji wa Simba SC, Peter Banda ametajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuwa miongoni mwa wachezaji...
Na mwandishi wetuYanga leo imeivua rasmi Simba Kombe la Shirikisho Azam baada ya kuibuka na ushindi wa penalti 4-1 katika mechi yao na Coastal Un...