Na mwandishi wetuTimu ya Geita Gold imejinasibu kuelekea mchezo wao wa kesho kuwa watahakikisha wanapata matokeo ya ushindi dhidi ya Dodoma Jiji ...
Category: Soka
Na mwandishi wetuSiku moja baada ya Ally Kamwe kutambulishwa kuwa ofisa habari mpya wa Yanga, ameahidi kutoa ushirikiano mkubwa kwa timu hiyo kuh...
Na mwandishi wetuKlabu ya Yanga imeendelea kutambulisha safu yao mpya ya kazi baada ya kutangaza uteuzi wa mchambuzi wa soka wa Azam Media, Ali K...
Na mwandishi wetuKlabu ya Yanga imemtangaza rasmi Mzambia, Andrew Mtine kuwa Mtendaji Mkuu mpya wa klabu hiyo akirithi mikoba ya Senzo Mazingiza ...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa timu ya soka ya taifa chini ya umri wa miaka 23, Ngorongoro Heroes, Hemed Suleiman ‘Morocco’ amewapongeza vijana w...
Na mwandishi wetuKocha wa timu ya soka ya taifa chini ya umri wa miaka 23, Hemed Selamani ‘Morocco’ amewatuliza mashabiki baada ya kutoka suluhu ...
Na mwandishi wetuKocha wa KMC, Thierry Hitimana ameibuka na kumueleza mshambuliaji wake, Matheo Anthony anayeongoza kwa mabao Ligi Kuu NBC kwa sa...
Na mwandishi wetuRais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Walace Karia na Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba, Barbara Gonzalez ni miongoni m...
Na mwandishi wetuWakati Azam FC ikitua leo jijini Ndola, Zambia, timu ya Simba SC kesho inatarajiwa kutua Zanzibar ikiwa ni kwa ajili ya maandali...
Na mwandishi wetuWaziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amemuagiza Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo, Ally Mayayi kuifa...