Na mwandishi wetuWafalme wawili wa soka la Tanzania, Simba na Yanga wameendelea kutanua makucha yao baada ya leo Jumatatu kutambulisha vifaa vipy...
Category: Soka
Na mwandishi wetuTimu ya Yanga SC inatarajia kuvaana na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini inayonolewa na Nasrredine Nabi katika mchezo maalum wa Kom...
Na mwandishi wetuMehboob Manji ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mwenyekiti na mfadhili wa klabu ya Yanga, Yusuf Manji (pichani) amesema baba yake amb...
Na mwandishi wetuSimba imewaeleza wazi mashabiki wake kuwa wanapaswa kufurahi kutokana na usajili unaoendelea kufanyika katika kikosi hicho kwani...
Na mwandishi wetuKaimu kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Hemed Suleiman 'Morocco' ameeleza wazi kupiga chini ofa za klabu ali...
Na mwandishi wetuKlabu ya soka ya Simba imemtangaza, Fadlu Davids kuwa kocha mkuu mpya wa timu hiyo akichukua nafasi ya Juma Mgunda aliyekuwa aki...
Na mwandishi wetuKlabu ya Simba imeendelea kutangaza vifaa vyake vipya kwa siku ya tatu mfululizo na sasa ni zamu ya utambulisho wa Abdulrazack M...
Na mwandishi wetuKocha mpya wa Singida Black Stars, Patrick Aussems amesema malengo makubwa aliyonayo ni kuiongoza timu hiyo kumaliza katika tatu...
Na mwandishi wetuWaziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro, amekagua hali ya Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza uliopo kwenye mpango w...
Na mwandishi wetuKlabu ya KMC imethibitisha kwa kumtangaza Oscar Paul Mwaigaga (pichani) kama mchezaji wao mpya ambaye wamemnasa kutoka klabu ya ...