Na mwandishi wetuTimu ya Yanga inatarajia kurejea mazoezini keshokutwa Alhamisi kuanza maandalizi ya michuano iliyo mbele yao baada ya kupumzika ...
Category: Soka
Na mwandishi wetuTimu ya Simba SC itacheza mechi mbili za kirafiki ikiwa kambini Dubai, wakianza na Al Dhafrah ya huko na miamba ya Ulaya, CSKA M...
Na mwandishi wetuImeelezwa kuwa uongozi wa Yanga umerejea kwenye mazungumzo na kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ baada ya jana Jumatatu kupewa hukum...
Na mwandishi wetuMshambuliaji wa Tanzania, George Mpole anayekipiga FC Lupopo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ameahidi kuonesha kiwango bora...
Na mwandishi wetuHatma ya kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' kama ataruhusiwa kuvunja mkataba na Yanga itajulikana Jumatatu, siku ambayo pia mchezaji...
Na mwandishi wetuSare ya bao 1-1 na Singida Big Stars imetosha kuifanya Yanga iungane na mahasimu wao Simba kwa kutolewa katika michuano ya Kombe...
Na mwandishi wetuMshambuliaji wa zamani wa Yanga, Ditram Nchimbi ametua kwenye kikosi cha Fountain Gate inayoshiriki Ligi ya Championship.Awali, ...
Na mwandishi wetuLicha ya Azam FC kuwa timu ya kwanza kutinga nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi, imeeleza kuwa bado haijaridhidhwa na kiwango ch...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Geita Gold, Fred Felix Minziro ameeleza kuwa na hali ngumu kwenye kikosi chake kwa sasa baada ya kuondokewa na wac...
Na mwandishi wetuKocha Msaidizi wa Simba, Juma Mgunda amekubali matokeo baada ya kutolewa kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanayoendelea v...