Na mwandishi wetu, DodomaJumapili imekuwa siku nzuri na mwanzo mzuri kwa straika mpya wa Simba, Jean Baleke, ameianza kwa kucheza mechi yake ya k...
Category: Soka
Na mwandishi wetuMgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa klabu ya Simba, Murtaza Mangungu leo Ijumaa amezindua rasmi kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa...
Na mwandishi wetuKiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama amewashukuru wote waliomuwezesha kuondoka na tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Desemba ...
Na mwandishi wetuKipa mpya wa Yanga, Metacha Mnata amesema kuwa ametua timu hiyo ili kuleta ushindani wa kugombania namba katika kikosi cha kwanz...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema kilichosababisha timu yake kupata ushindi wa tabu dhidi ya Mbeya City...
Na mwandishi wetuKlabu ya Singida Big Stars imeelezwa kumuondoa katika kikosi chake, mchezaji Enock Atta kutokana na suala lake la kibali cha Hat...
Na mwandishi wetuSaido Ntibazonzika ameendelea kuthibitisha umuhimu wake katika kikosi cha Simba baada ya Jumatano hii kufunga mabao mawili na ku...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amewataka wachezaji wake kutoridhika na ushindi wanaoupata kwenye mechi za Ligi Kuu NBC, ba...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Geita Gold, Fred Felix Minziro ameeleza amejiandaa vilivyo kuhakikisha wanaibuka na ushindi kwenye mechi ya keshok...
Na mwandishi wetuMshambuliaji wa Azam, Kipre Junior ameeleza furaha aliyonayo baada ya juzi kufanikiwa kuifungia timu hiyo bao lake la kwanza huk...