Na mwandishi wetuYanga imeendelea kuifukuzia Simba kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu NBC baada ya kuikandika Dodoma Jiji mabao 4-0 katika mechi il...
Category: Kimataifa
Manchester, EnglandKocha wa Man United, Ruben Amorim ameonya kuwa mshambuliaji Marcus Rashford anaweza kuendelea kuwekwa kando hadi atakapoanza k...
Na mwandishi wetuBao pekee la mkwaju wa penalti iliyofungwa kiufundi na Jean Ahoua leo Jumanne kwenye Uwanja wa KMC, Dar es Salaam limezima ndoto...
Na mwandishi wetuAliyekuwa meneja habari na mawasiliano wa Yanga, Haji Manara amelazimika kuomba radhi baada ya kuonesha ukaidi na kumjibu jeuri ...
Manchester, EnglandKocha wa Man United, Ruben Amorim amesema timu yake ipo katika kipindi kigumu baada ya kuchapwa mabao 3-0 na Bournemouth jana ...
Na mwandishi wetuYanga imeichapa Prisons mabao 4-0 katika Ligi Kuu NBC huku bao moja alilofunga nyota wa mechi hiyo, Ibrahim Bacca likiwa mjadala...
Manchester, EnglandMshambuliaji wa Man City, Erling Haaland amejibebesha lawama kwa mwenendo mbaya wa timu hiyo hasa baada ya kipigo cha Jumamosi...
Na mwandishi wetuSimba imeibugiza Kagera Sugara mabao 5-2 huku kumbukumbu ya kuvutia zaidi ikiwa bao la tatu la Fabrice Ngoma aliyeshangilia kwa ...
Manchester, EnglandKocha wa Man United, Ruben Amorim amesisitiza kwamba alikuwa sahihi kumuweka kando mshambuliaji Marcus Rashford kwenye kikosi ...
Na mwandishi wetuHatimaye nyota imeanza kung'aa kwa mshambuliaji wa Yanga, Prince Dube baada ya kufunga mabao matatu wakati timu yake ikiilaza Ma...