Manchester, EnglandKlabu ya Manchester United imekamilisha usajili wa kipa Andre Onana (pichani) kutoka Inter Milan kwa ada ya Pauni 47.2 milioni...
Category: Kimataifa
Auckland, New ZealandNew Zealand imeanza vyema fainali za Kombe la Dunia kwa Wanawake Alhamisi hii ikiibwaga Norway bao 1-0 ingawa fainali hizo z...
Lorient, UfaransaBeki wa zamani wa Man City, Benjamin Mendy amesaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya Lorient ya Ufaransa ikiwa ni siku tano t...
Amsterdam, UholanziKipa wa zamani wa Uholanzi na klabu ya Manchester United, Edwin van der Sar (pichani) aliyekuwa na matatizo ya damu kwenye ubo...
Paris, UfaransaRais wa klabu ya PSG ya Ufaransa, Nasser Al-Khelaifi amepanga kukaa meza moja na mshambuliaji wa timu hiyo, Kylian Mbappe ili kuju...
London, EnglandVita ya Bayern Munich na PSG kuisaka saini ya straika wa Tottenham Hotspur, Harry Kane imechukua sura mpya baada ya straika huyo k...
Salonika, UgirikiNahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Mbwana Samatta amejiunga na klabu ya PAOK FC inayoshiriki Super Ligi nchini U...
London, EnglandArsenal hatimaye imemsajili kiungo Declan Rice kutoka West Ham kwa ada ya Pauni 100 milioni ikiibwaga Man City ambayo pia ilikuwa ...
Aleksandre Ceferine SwitzerlandKlabu za Manchester United na Barcelona zimepigwa faini na Shirikisho la Soka Ulaya (Uefa) kwa kosa la kwenda kiny...
Riyadh, Saudi ArabiaKlabu ya Al Ahli ya Saudi Arabia inadaiwa kujiandaa kumnunua winga wa Man City, Riyad Mahrez (pichani) kwa ada inayotajwa kuf...