Roma, ItaliaMshambuliaji wa Ubelgiji, Romelu Lukaku amejiunga na klabu ya Roma ya Italia kwa mkopo akitokea Chelsea huku kukiwa na habari kwamba ...
Category: Kimataifa
Na mwandishi wetuBaada ya kutangazwa kikosi cha Taifa Stars, makocha wazawa wameonesha kuunga mkono kikosi hicho wakiamini Kocha Mkuu, Adel Amrou...
Na mwandishi wetuJKT Queens ya Tanzania imefuzu kushiriki fainali za Ligi ya Mabingwa Afrika kwa wanawake baada ya kuilaza CBE ya Ethiopia kwa pe...
Riyadh, Saudi ArabiaKlabu ya Al-Ittihad ya Saudi Arabia imepania kumsajili mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah na tayari imemtengea Pauni 11...
Frankfurt, UjerumaniMshambuliaji wa timu ya Eintracht Frankfurt, Randal Kolo Muani (pichani) amekwepa kufanya mazoezi ya timu hiyo leo Jumatano i...
Na mwandishi wetuSimba SC inatarajia kuwafahamu wapinzani wao Jumamosi hii kwenye michuano mipya ya African Football League (AFL) katika droo ita...
London, EnglandMtu mmoja amekamatwa akihusishwa na wizi na uvamizi nyumbani kwa mshambuliaji wa Chelsea, Raheem Sterling (pichani) wakati wa fain...
London, EnglandMshambuliaji wa Manchester City, Erling Haaland ametwaa tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka wa Chama cha Wanasoka Profesheno (PFA), tu...
Madrid, HispaniaHatma ya kocha wa wanawake wa timu ya Hispania, Jorge Vilda (pichani juu) huenda akatimuliwa baada ya kuwapo habari kwamba Shirik...
Na mwandishi wetuKlabu ya JS Kabylie ya Algeria imemtambulisha rasmi mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Simon Msuva kujiunga...