Barcelona, HispaniaMshambuliaji wa Barcelona, Lamine Yamal, 16, amevunja rekodi kwa kufunga bao katika Ligi Kuu Hispania au La Liga akiwa na umri...
Category: Kimataifa
New York, MarekaniWayne Rooney ameamua kuachia ngazi katika nafasi yake ya kocha mkuu wa timu ya D.C United ya Marekani baada ya timu hiyo kushuk...
Montpellier, UfaransaMechi ya Ligi Kuu Ufaransa au Ligi 1 kati ya Montpellier na Clermont iliyokuwa ikichezwa leo Jumapili imelazimika kusitishwa...
Roma, ItaliaKocha wa Roma, Jose Mourinho ambaye ana wakati mgumu katika timu hiyo, amesema kwamba anaamini atakwenda kufundisha soka Saudi Arabia...
Manchester, EnglandKocha wa zamani wa Man United aliyepata mafanikio makubwa na timu hiyo, Sir Alex Ferguson amefiwa na mkewe Cathy Ferguson (pic...
Paris, UfaransaMshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Sweden, Zlatan Ibrahimovic amewashangaa wanasoka wanaokwenda Saudi Arabia kucheza soka ...
Na mwandishi wetuVinara wa Ligi Kuu NBC, Yanga wamepangwa kundi moja na mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly ya Misri huku wapin...
London, EnglandKocha wa timu ya taifa ya England, Gareth Southgate (pichani) amelalamikia uwapo wa mfumo wa VAR akidai kwamba umekuwa kero kwa ma...
Newcastle, EnglandNewcastle imerudi kwa kishindo St James Park ikiichapa PSG mabao 4-1 katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, mechi ambayo ni ya kwanza k...
Na mwandishi wetuBeki wa Simba, Henock Inonga ambaye kwa sasa ni majeruhi, amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya DR Congo kinachojianda...