Barrancas, ColombiaWanajeshi zaidi ya 120 nchini Colombia wanaendesha operesheni kumsaka Luis Manuel Diaz ambaye ni baba wa mshambuliaji wa Liver...
Category: Kimataifa
Barcelona, HispaniaBarcelona imeahidi kufanya uchunguzi wa matukio ya ubaguzi wa rangi anayodaiwa kufanyiwa mshambuliaji wa Real Madrid, Vinicius...
Liverpool, EnglandKlabu ya Liverpool imeeleza kufahamu matatizo yaliyoikumba familia ya mshambuliaji wake, Luis Diaz (pichani) ambaye baba na mam...
Madrid, HispaniaKocha Carlo Ancelotti ameshangazwa na kiwango cha ufungaji mabao cha kiungo Jude Bellingham baada ya mchezaji huyo kufunga mabao ...
London, EnglandEddie Nketiah kwa mara ya kwanza ameifungia Arsenal mabao matatu (hat trick) wakati timu hiyo ikiichapa Sheffield United 5-0 katik...
Manchester, EnglandMan United inadaiwa kutaka kumrudisha aliyekuwa kipa wake, David de Gea kwa kumpa mkataba wa muda mrefu ikiwa ni miezi minne t...
Milan, ItaliaKiungo wa Newcastle na timu ya taifa ya Italia, Sandro Tonali (pichani) amefungiwa kucheza soka kwa kipindi cha miezi 10 na Shirikis...
Barcelona, HispaniaKlabu ya Barcelona imemuomba radhi mshambuliaji wa Real Madrid, VinÃcius Junior baada ya mmoja wa wakurugenzi wake kupuuza dhi...
Na mwandishi wetuTanzania imepanda nafasi moja kutoka nafasi ya 122 hadi ya 121 kwenye viwango vya ubora wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa...
Paris, UfaransaWashambuliaji Kylian Mbappe na Erling Haaland wamekuwa na siku nzuri katika mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya zilizochezwa usiku wa ...