Na mwandishi wetuKocha mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha amesema sare ya 0-0 waliyoipata jana Ijumaa dhidi ya Asec Mimosas katika Ligi ya Mabingw...
Category: Kimataifa
Na mwandishi wetuKocha mkuu wa Twiga Stars, Bakari Shime amesema wamefanya makosa na kukubali kichapo nyumbani cha mabao 3-0 dhidi ya Afrika Kusi...
Na mwandishi wetuSimba imetoka sare ya 0-0 na Asec Mimosas katika mechi ya Kundi B ya Ligi ya Mabingwa Afrika, matokeo yanayoifanya Simba ilazimi...
Munich, UjeumaniKocha anayejiandaa kuondoka katika klabu ya Bayern Munich, Thomas Tuchel amesema kwamba yeye si mtu pekee wa kulaumiwa kwa kiwang...
Na mwandishi wetuMatumaini ya timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars kushiriki Michezo ya Olimpiki yameingia doa baada ya timu hiyo k...
Na mwandishi wetuTimu ya soka ya taifa ya wanawake, Twiga Stars itashuka kwenye dimba la Azam Complex Ijumaa hii kuikabili Afrika Kusini, 'Banyan...
Barcelona, HispaniaMahakama nchini Hispania imemkuta na hatia ya kosa la kubaka beki wa zamani wa Barcelona na timu ya taifa ya Brazil, Dani Alve...
Rio de Janeiro, BrazilKocha wa timu ya taifa ya Brazil, Dorival ambaye aliwahi kusema kwamba Brazil ianze kufikiria maisha bila ya Neymar, amebad...
Na mwandishi wetuKocha msaidizi wa Simba, Selemani Matola pamoja na kukiri kwamba mchezo wao wa hatua ya makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi...
Munich, UjerumaniKocha wa Bayern Munich, Thomas Tuchel atalazimika kuachana na timu hiyo Juni mwaka huu baada ya msimu huu wa 2023-24 kumalizika ...