London, EnglandMabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Man City wamepangwa kucheza na Real Madrid katika hatua ya robo fainali ya ligi hiyo ...
Category: Kimataifa
Paris, UfaransaKocha wa timu ya taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps (pichani) ameelezea kufurahishwa kwake na kitendo cha kocha wa PSG, Luis Enri...
Na mwandishi wetuKaimu kocha mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’ amesema Dickson Job hakuwa mzalendo kwa kukataa kucheza eneo alilompan...
Madrid, HispaniaMshambuliaji wa Real Madrid,Vinicius Jr ameutaka uongozi wa Umoja wa Vyama vya Soka Ulaya (Uefa) kuchukua hatua baada ya mchezaji...
Manchster, EnglandKiungo wa Man City, Kevin De Bruyne ameachwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Ubelgiji kwa kinachodaiwa kuwa ni kusumbuliwa n...
Paris, UfaransaKlabu ya PSG ya Ufaransa inadaiwa kutenga kitita cha Pauni 80 milioni kwa ajili ya kuinasa saini ya mshambuliaji wa Man United, Ma...
Dortmund, UjerumaniKwa mara ya kwanza baada ya miaka mitatu, Borussia Dortmund imefuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ikiichapa ...
Paris, UfaransaMshambuliaji wa timu ya PSG ya Ufaransa, Kylian Mbappe amemshitaki muuza kababu (mikate ya nyama) maarufu kwa kutumia mfano wa jin...
Na mwandishi wetuNahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, 'Taifa Stars', Mbwana Samatta na Dickson Job wameachwa katika kikosi kilichoitwa kushiriki...
Madrid, HispaniaKlabu ya Celta Vigo ya Hispania imemfuta kazi kocha Rafael Benitez baada ya kuwa na timu hiyo kwa kipindi kisichozidi miezi tisa....