Na mwandishi wetuKiungo mshambuliaji wa Simba, Willy Onana amesema huu ndio wakati muhimu kwa timu yake kuandika historia mpya Afrika kwa kutinga...
Category: Kimataifa
Rio de Janeiro, BrazilMwanasoka nyota wa zamani wa klabu za Real Madrid na Man City, Robinho hatimaye ameanza kutumikia adhabu ya kifungo cha mia...
Na mwandishi wetuTimu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeanza na mguu mbaya mashindano ya Fifa Series nchini Azerbaijan baada ya kuchapwa bao 1...
Rio de Janeiro, BrazilMpango wa familia ya mshambuliaji wa Brazil, Neymar Jr kumtoa jela beki wa zamani wa Barcelona, Dani Alves anayekabiliwa na...
Munich, UjerumaniRais wa heshima wa klabu ya Bayern Munich, Uli Hoeness amesema klabu hiyo inashindana na Liverpool kuisaka huduma ya kocha Xabi ...
Paris, UfaransaKiungo wa timu ya vijana chini ya miaka 19 ya Ufaransa, Mahamadou Diawara inadaiwa kaondoka katika kikosi cha timu hiyo kutokana n...
Na mwandishi wetuKaimu kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’, amesema maandalizi yanaendelea vizuri na w...
London, EnglandWinga wa Arsenal, Bukayo Saka amejitoa katika kikosi cha timu ya taifa ya England kutokana na kuwa majeruhi na hivyo atazikosa mec...
Manchester, EnglandBilionea na mmiliki mwenza wa Manchester United, Sir Jim Ratcliffe amefuta hesabu zozote za kumsajili mshambuliaji wa PSG, Kyl...
Rio de Janeiro, BrazilHatimaye Mahakama Kuu Brazil imeamua nyota wa zamani wa AC Milan, Real Madrid na Man City, Robinho lazima atumikie adhabu y...