London, EnglandKocha wa Bayern Munich, Thomas Tuchel amesema uzoefu wao mkubwa kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya utakuwa faida kubwa katika mechi na ...
Category: Kimataifa
Na mwandishi wetuKocha mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kwamba timu yake imeporwa ushindi katika mechi ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa A...
Na mwandishi wetuSimba nayo imeungana na hasimu wake Yanga kwa kuaga fainali za Ligi ya Mabingwa Afrika katika hatua ya robo fainali baada ya kuc...
London, EnglandKocha wa Man United, Erik ten Hag amewalaumu wachezaji wake akisema wanapaswa kujua jinsi ya kumaliza mchezo baada ya kushindwa ku...
Na mwandishi wetuBaada ya dakika 90 za kukata na shoka kumalizika kwa sare ya 0-0 hatimaye Yanga imeziaga fainali za Ligi ya Mabingwa Afrika baad...
Madrid, HispaniaRais wa zamani wa Shirikisho la Soka Hispania, (RFEF) Luis Rubiales amehoji hatua ya kumshitaki mahakamani kwa kumpiga busu mdomo...
Johannesburg, Afrika KusiniPolisi nchini Afrika Kusini wamearifu kuwa beki wa klabu ya Kaizer Chiefs ya nchini humo, Luke Fleurs (pichani) ameuaw...
Na mwandishi wetuMshambuliaji wa Pyramids FC, Fiston Mayele ametinga katika hoteli waliyofikia Simba nchini Misri kwa ajili ya mechi yao ya mkond...
Na mwandishi wetuTanzania imeendelea kung'ang'ania kwenye nafasi ya 119 kwa ubora wa viwango vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) vilivyoto...
Yaounde, CameroonShirikisho la Soka Cameroon limeshtushwa baada ya kubaini kuwa serikali kupitia Wizara ya Michezo imemuajiri Marc Brys (pichani)...