Barcelona, HispaniaKocha mpya mtarajiwa wa Barca, Hansi Flick amewasili jijini Barcelona ili kusaini mkataba na kukabidhiwa rasmi majukumu ya kui...
Category: Kimataifa
Manchester, EnglandKocha wa Man United, Erik ten Hag anamini bado anaweza kufukuzwa licha ya kuiwezesha timu hiyo kubeba Kombe la FA.Juzi Jumamos...
Kocha wa Barcelona Barcelona, HispaniaKocha aliyetimuliwa Barcelona, Xavi Hernandez amesema kwamba kocha mpya atakayebeba majukumu yake katika ti...
Cairo, MisriTimu ya Al Ahly ya Misri ndio wafalme wa Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2023-24 baada ya kuilaza Esperance ya Tunisia bao 1-0 katik...
London, EnglandMan United hatimaye imebeba Kombe la FA kwa kuwanyuka mahasimu wao wa jiji la Manchester, Man City mabao 2-1 huku hatma ya kocha w...
Munich, UjerumaniKocha wa Burnley, Vincent Kompany inadaiwa amefikia makubaliano ya awali na klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani ili awe kocha mk...
Madrid, HispaniaKlabu ya Real Madrid inadaiwa ipo katika hatua za mwisho kumsainisha mkataba mpya kiungo wake mkongwe Luka Modric pamoja na masta...
Manchester, EnglandSiku moja kabla ya Man United na Man City kuumana katika fainali ya Kombe la FA, kocha wa Man City, Pep Guardiola ameanza kuij...
Na mwandishi wetuRais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe amesema bao la kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephanie Aziz Ki dhidi ya...
Barcelona, HispaniaHatimaye klabu ya Barcelona imetangaza rasmi kumfuta kazi kocha Xavi huku kocha wa zamani wa Bayern Munich, Hansi Flick akitar...