London, EnglandReal Madrid usiku wa kuamkia leo Jumapili wameweka rekodi ya kubeba taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya 15 huku kocha wao, ...
Category: Kimataifa
Manchester, EnglandKlabu ya Man City inadaiwa kujiandaa kumsainisha mkataba mpya mshambuliaji, Erling Haaland ambaye ndio kwanza ana miaka 23 na ...
Istanbul, UturukiKocha wa zamani wa Chelsea na Real Madrid, Jose Mourinho anatarajia kutangazwa rasmi kuwa kocha mkuu mpya wa klabu ya Fenerbahce...
Na mwandishi wetuKaimu kocha mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman 'Morocco' amesema anafurahi kuona kikosi chake kikiwa na maandalizi mazuri kuele...
Barcelona, HispaniaMahakama moja ya Hispania imeagiza beki wa zamani wa Barcelona na timu ya taifa ya Hispania, Gerard Pique ahojiwe akihusishwa ...
Yaounde, CameroonHali bado tete katika soka Cameroon baada ya shirikisho la soka nchini humo, Facefoot ambalo linaongozwa na mwanasoka wa zamani,...
Munich, UjerumaniSasa ni rasmi, Bayern Munich hatimaye imemtangaza rasmi Vincent Kompany kuwa kocha mkuu mpya baada ya makubaliano na klabu ya Bu...
Madrid, HispaniaKiungo wa Real Madrid na timu ya taifa ya England, Jude Bellingham ameshinda tuzo ya mwanasoka bora wa msimu wa La Liga akiwa kat...
Barcelona, HispaniaKlabu ya Barcelona au Barca hatimaye imemteua rasmi kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Ujerumani, Hansi Flick kuwa kocha mkuu...
Yaounde, CameroonSoka la Cameroon limeingia katika sintofahamu baada ya kikao kati ya kocha mkuu wa timu ya taifa, Marc Brys na Rais wa Shirikish...