Ndola, ZambiaTimu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeibuka shujaa ugenini baada ya kuigonga Zambia maarufu Chipolopolo kwa bao 1-0 katika mechi...
Category: Kimataifa
London, EnglandKocha wa timu ya taifa ya England, Gareth Southgate amesema kwamba fainali za Kombe la Ulaya au Euro 2024 huenda ikawa nafasi ya m...
Na mwandishi wetuShirikisho la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), limetangaza rasmi michuano ya Kombe la Kagame 2024 itafanyika Ta...
Warsaw, PolandMshambuliaji wa timu ya taifa ya Poland, Robert Lewandowski ataikosa mechi ya kwanza ya timu hiyo kwenye fainali za Kombe la Ulaya ...
Madrid, HispaniaMshambuliaji wa Real Madrid, Vinicius Jr amesema kwamba amegeuka kuwa mhanga wa ubaguzi wa rangi baada ya mashabiki watatu waliom...
Amsterdam, UholanziTimu ya taifa ya Uholanzi imepata pigo wakati ikijiandaa na fainali za Kombe la Ulaya (Euro 2024) baada ya kiungo wake Frenkie...
Munich, UjerumaniKocha wa zamani wa Bayern Munich na Chelsea, Thomas Tuchel ambaye amekuwa akihusishwa na mipango ya kujiunga na Man United ameji...
Manchester, EnglandKlabu ya Manchester United imetangaza dau la Pauni 40 milioni kwa timu yoyote itakayomtaka winga wao, Jadon Sancho ambaye kwa ...
Na mwandishi wetuKikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kimeondoka leo Jumamosi kuelekea Ndola, Zambia kwa ajili ya mechi ya kuwania k...
Manchester, EnglandKocha wa Man United Erik ten Hag analazimika kusubiri kabla ya kujua hatma yake katika klabu hiyo kama atatimuliwa au ataendel...