Na mwandishi wetuSimba Day, leo Jumamosi Agosti 3, 2024 imekuwa tamu kwa mashabiki wa timu hiyo baada ya kuichapa APR ya Rwanda mabao 2-0 huku ma...
Category: Kimataifa
Columbus, MarekaniKocha Man City, Pep Guardiola amesema kwamba atakuwa anatumia muda mfupi kuzungumza na wachezaji wake wakati wa mapumziko baada...
Bordeaux, UfaransaUfaransa itaumana na Misri katika nusu fainali ya soka kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris baada ya kuibwaga Argentina bao 1-0,...
Chicago, MarekaniKocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti anesema kwamba mshambuliaji wake, Endrick (pichani) mwenye umri wa miaka 18 ana vitu vya k...
Los Angeles, MarekaniBeki wa Man United Jonny Evans (pichani) amesema limekuwa jambo gumu mno kwake kuona wafanyakazi 250 wa klabu hiyo wanaachis...
Bloemfontein, Afrika KusiniTimu ya Yanga, leo Jumapili imeibamiza Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini mabao 4-0 katika mechi ya Kombe la Toyota iliyop...
Saint-Etienne, UfaransaKocha wa Argentina, Javier Mascherano (pichani) amelielezea kuwa ni fedheha tukio la timu yake kufungwa mabao 2-1 na Moroc...
Na mwandishi wetuBao pekee la Prince Dube limeiwezesha Yanga kutoka na ushindi wa 1-0 dhidi ya TS Galaxy ya Afrika Kusini katika mechi ya kujipim...
TOPSHOT - FIFA president Gianni Infantino poses with Al Rihla, the official match ball before a press conference during the 72th FIFA Congress in...
Istanbul, UturukiBeki wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Novatus Dismas Miroshi amejiunga na klabu ya Goztepe SK inayoshiriki Ligi Kuu Ut...