London, EnglandBaada ya kumuuza mshambuliaji wao Robert Lewandowski, klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani sasa imeanza kumpigia hesabu mshambuliaj...
Category: Kimataifa
London, EnglandMchezaji wa zamani wa Man United, Nani amesema kwamba klabu hiyo haitokuwa imefanya jambo sahihi kumuacha Cristiano Ronaldo aondok...
Luca Modric Madrid, HispaniaKukaa klabu moja miaka 10 si jambo dogo hasa klabu hiyo ikiwa ni Real Madrid, Luca Modric si tu amekaa klabu hiyo kwa...
London, EnglandManchester United imekubali kumsajili beki wa kati wa Argentina, Lisandro Martinez kutoka klabu ya Ajax ya Uholanzi kwa mkataba wa...
Barcelona, HispaniaKlabu ya soka ya Barcelona hatimaye imefikia makubaliano ya awali ya kumsajili mshambuliaji wa Bayern Munich, Robert Lewandows...
London, EnglandRiyad Mahrez ameamua kusaini mkataba mpya wa miaka miwili na klabu yake ya Man City, mkataba ambao utamfanya kuitumikia timu hiyo ...
Barcelona, HispaniaRais wa klabu ya Barcelona, Joan Laporta amekanusha uvumi ulionea kwamba klabu yake italazimika kumruhusu nyota wake Frenkie d...
Moscow, UrusiRufaa iliyokatwa na Shirikisho la Soka la Urusi (FUR) na klabu za soka nchini humo kupinga kufungiwa kushiri michuano ya soka barani...
Paris, UfaransaJoyce Lomalisa Mutambala, beki mpya wa Yanga anabezwa mitandaoni kwa sababu ya jina lake kama vile jina ndilo linalocheza soka, la...
London, EnglandViungo wa Chelsea, N'Golo Kante na Ruben Loftus-Cheek wameshindwa kuungana na wachezaji wenzao kwa safari ya Los Angeles, Marekani...