Na Hassan KinguDesemba 2012 kwenye michuano ya Cecafa, Kilimanjaro Stars ikiwa chini ya kocha Kim Poulsen iliibugiza Somalia mabao 7-0. Jumamosi ...
Category: Kimataifa
Barcelona, HispaniaMshambuliaji mpya wa Barcelona, Robert Lewandowski aliyejiunga na timu hiyo hivi karibuni akitokea Bayern Munich ameishutumu k...
Milan, ItaliaMshambuliaji wa zamani wa Man City, Raheem Sterling ameanza kutakata katika klabu yake mpya ya Chelsea baada ya kufunga goli jana ji...
Manchester, EnglandMshambuliaji wa Manchester United Cristiano Ronaldo ni kama vile amekata tamaa na mpango wa kuondoka katika klabu hiyo baada y...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars, Kim Poulsen amesema kikosi chake kipo tayari na kamili kuivaa Somalia kesho wakitaraji...
Fenerbahce, UturukiShirikisho la Soka Ulaya (Uefa) linachunguza tukio la mashabiki wa soka wa timu ya Fenerbahce ya Uturuki waliokuwa wakishangil...
Manchester, EnglandJuhudi za klabu ya Manchester United kumbakisha mshambuliaji wao, Cristiano Ronaldo zinaonekana kugonga mwamba baada ya mcheza...
Montevideo, UruguayKinara wa mabao wa timu ya Taifa ya Uruguay ambaye pia amewahi kutamba na klabu za Barcelona na Liverpool, Luis Suarez sasa am...
Milan, ItaliaKiungo wa zamani wa Arsenal, Aaron Ramsey ameachana na klabu ya Juventus ya Italia baada ya mkataba wake kufutwa.Ramsey ambaye pia n...
Barcelona, HispaniaNafasi ya mshambuliaji nyota wa PSG, Lionel Messi kurudi katika klabu yake ya zamani ya Barcelona inaonekana kuwa wazi baada y...