Na mwandishi wetuKikosi cha Simba SC kinatarajia kucheza mchezo wao wa mwisho wa kirafiki huko Sudan kesho dhidi ya Al Hilal huku ikiwa na ongeze...
Category: Kimataifa
Na mwandishi wetuKocha msaidizi wa timu ya taifa, Taifa Stars, Mecky Maxime ameanza kuipigia hesabu mechi yao na timu ya Taifa ya Uganda au Ugand...
Juventus, ItaliaKiungo wa Juventus na timu ya Taifa ya Ufaransa, Paul Pogba amejibu vitisho vilivyoelekezwa kwake na kaka yake Mathias Pogba amba...
Na mwandishi wetuShirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza kumuondoa kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen na wasaidizi wake na nafasi yake sasa ...
Barcelona, HispaniaMshambuliaji wa Barcelona, Pierre-Emerick Aubameyang amevamiwa nyumbani kwake na kupigwa na majambazi waliokuwa na silaha mbal...
Manchester, EnglandManchester United imekubali kulipa Pauni 80.75 milioni ili kumsajili winga wa Ajax, Antony ambaye sasa anakuwa mmoja wa wachez...
Na mwandishi wetuJumapili haikuwa nzuri kwa Taifa Stars baada ya kushindwa kuutumia vyema uwanja wa nyumbani wa Benjamin Mkapa kwa kufungwa bao 1...
Na mwandishi wetu Simba Queens imewatoa Watanzania kimasomamo kwa kuilaza She Corporate ya Uganda bao 1-0, ushindi uliowapa taji la michuano ya k...
London, EnglandMwanzo mbaya wa Liverpool kwenye Ligi Kuu England inawezekana umezikwa Jumamosi hii baada ya timu hiyo kuichakaza Bournemouth maba...
London, EnglandWakati dirisha la usajili barani Ulaya likitarajiwa kufungwa Septemba Mosi, winga Cristiano Ronaldo anatajwa kuwa katika mipango y...