Doha, QatarMshambuliaji wa Uruguay, Luis Suarez amesema hatoomba radhi kwa tukio la kuunawa mpira ambalo liliwanyima Ghana nafasi ya kufikia nusu...
Category: Kimataifa
Doha, QatarWajerumani hawaamini kilichowakuta Qatar, ushindi wa mabao 4-2 walioupata kwa Costa Rica haujawasaidia, wameaga mapema fainali za Komb...
Doha, QatarWinga na nahodha wa timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo amepata ofa ya kujiunga na klabu ya Al-Nassr ya Saudi Arabia kwa mkataba...
Rio de Janeiro, BrazilMkongwe wa Brazil, Pele mapema jana Jumatano alikimbizwa hospitali ingawa mtoto wake wa kike, Kely Nascimento amesema kwamb...
Doha, QatarNahodha wa timu ya Taifa ya Wales, Gareth Bale amefuta madai ya kwamba anastaafu kuichezea timu yake ya taifa badala yake amesema yuko...
Milan, ItaliaBodi nzima ya wakurugenzi ya klabu ya Juventus ya Italia imeachia ngazi wakiongozwa na rais wao, Andrea Agnelli wakati polisi wakien...
Doha, QatarKiungo wa Brazil, Casemiro leo Jumatatu amefunga bao muhimu dhidi ya Switzerland na kuiwezesha timu yake kufuzu hatua ya mtoano ya fai...
Doha, QatarCameroon leo Jumatatu imefufua matumaini ya kufuzu hatua ya mtoano kwenye fainali za Kombe la Dunia baada ya kuilazimisha Serbia sare ...
Doha, QatarMshambuliaji wa England, Marcus Rashford amesema kwamba wachezaji wa timu hiyo hawahitaji kuzomewa na mashabiki wao ili wajue kwamba h...
Doha, QatarBaada ya mshambuliaji wa Brazil, Neymar kuchezewa rafu mara tisa katika mechi na Serbia, kocha wa Brazil, Tite amesema kwamba jambo hi...