Benfica, UrenoHatimaye klabu ya Chelsea imefanikiwa kumsajili kiungo Enzo Fernandez kutoka klabu ya Benfica ya Ureno kwa ada ya Pauni 131 milioni...
Category: Kimataifa
Manchester, EnglandManchester United imefanikiwa kumsajili kwa mkopo hadi mwishoni mwa msimu huu, kiungo Marcel Sabitzer kutoka Bayern Munich ya ...
London, EnglandChelsea imetoa ofa ya Pauni 105 milioni ili kumsajili kiungo wa Benfica na timu ya Taifa ya Argentina, Enzo Fernandez dau ambalo l...
e London, EnglandEverton imemtangaza Sean Dyche kuwa kocha mpya akirithi mikoba ya Frank Lampard aliyetimuliwa wiki iliyopita na tayari kocha huy...
London, EnglandWakati klabu ya Arsenal ikiendelea na msimamo wake wa kutaka kumsajili Moises Caicedo, klabu ya Brighton nayo imeendelea kukomaa i...
London, EnglandBingwa mtetezi wa Kombe la FA, Livepool leo Jumapili imeliachia rasmi taji hilo baada ya kukubali kipipo cha mabao 2-1 mbele ya Br...
London, EnglandKocha wa Man United, Erik ten Hag amefurahishwa na mshambuliaji wake mpya, Wout Weghorst ambaye ameonyesha thamani yake kwa kufung...
Milan, ItaliaMshambuliaji wa AC Milan, Zlatan Ibrahimovic amewashutumu wachezaji wa timu ya Argentina kwa namna walivyokuwa wakiwadhihaki wenzao ...
London, EnglandBao pekee la Harry Kane lililoiwezesha Tottenham Hotspur kupata ushindi wa 1-0 dhidi ya Fulham limemfanya mshambuliaji huyo kuweka...
Barcelona, HispaniaWakati sakata la kumdhalilisha mwanamke kijinsia likiendelea kumtesa beki wa zamani wa Barcelona, Dani Alves, klabu anayoichez...